TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,722
- 10,226
Niko Mwenge, usafiri ni washida sana, magari hamna, wengi wa madereva wameenda kupaki wanasema hamna mafuta. Sijui kesho tutaendaje job
Kwa kawaida during week-ends & holidays magari ya mafuta yanasafiri mengi zaidi kwenda mikoani (kwa uzoefu wangu wa moro road). Nakuhakikishia leo hakuna gari yenye mafuta inayopita!
MY TAKE:
kwa namna yoyote hakikisha una mafuta mengi sana, kwani hawa wahindi na waarabu nia yao ni kutuangamiza.
<br />Kwanini ungoje wahindi na waarabu waagize, kwa nini usiagize wewe mwenyewe? Unanshangaza!
<br />Mkuu mimi nadhani unalaumu ambako siko, laumu serikali yako in one way or another wamesababishi hii issue, mara nyingi kupanga bei hakushushi bei njia nzuri na wenyewe serikali wajiingize kwenye hii biashara na kuuza bei ya chini kama wanaweza in so doing bei itashuka
Kwanini ungoje wahindi na waarabu waagize, kwa nini usiagize wewe mwenyewe? Unanshangaza!