Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Unasikitika nini sasa? Lissu mara nyingi huwaita hivyo! MiCCM, MaCCM na akizungumzia mtu mmoja ni LiCCM. Ha hahaaaa pole sana leo miCCM itakuwa imechukia sana.

Eti hizo ni kauli za watu wanaotaka siku moja wawe viongozi wa nchi hii, Watanzania wa wapi watakaowapa hiyo ridhaa?
 
Yawezekana lisu kwake leo mwenzi ulikuwa mchanga hali ikiwa hivyo huwa ni shida sana.

Kama ndiyo hivyo basi Nape kila siku ni mwezi mchanga kwake..! ndio maana anaiua CCM!!!
 
mi sioni kosa lake kama nidhamu hao maccm mbona wanauza hii nchi kwa wamerakani hiyo ndio nidhamu? ccm acheni unafiki wenu nyie mabwege tu

Hakika mmeishiwa kama mnafikir matusi ndiyo yatawaondoa CCM madarakani, basi mmeishiwa, jaribuni tu kutumia nguvu za hoja badala ya hoja za nguvu, la sivyo mtawapotezea Watanzania muda na hatima yake ni mbaya sana
 
Siyo wasomi wote wameelimika wengine ni changamoto tu,
kwa mtu kama lisu kutukana kawaida yake anauwezo wa kumtukana kila mtu sijui huwaza nini.

Inategemea wewe kwako tusi ni nini..! Mbona Sugu alisema Pinda ni -------- lakini mahakama ikasema -------- sio tusi..!
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Hehehe?!! macho kwenye ugali !!!.SASA UTAKULA ULIKOWEKA MBOGA.
 
Acha kutuchanganyia habari wewe hayo mazingaombwe yenu ccm tulishayachoka Vipi Mulongo aliwashika wangapi kule Arusha walirusha mabomu?
 
toka CCM wamuue Mwangosi, hata wakiitwa jina gani baya sioni tofauti, hata Lissu Kafanya ustaarabu sana!!!!!

CHADEMA wao wamemuotesha huyu?


images
 
Mnatia hasira hata kama ni watanzania wenzetu, badilikeni basi tuiendeleze tzn yetu. Tumejitahidi kuwavika nguo lakini bado tu mnajivua wenyewe. Mmejiweka daraja lisilokuwepo ktk ulimwengu wa nchi ya tatu. Tuwafanyeje? Tuwaiteje? Ebu angalieni tu michango yenu hapa jf and note the diffenence for your kind change. we love you but we love more our country than you.
 
kama wewe ni liccm lazima usikitishwe.ulitaka mpewe hashima wakati utawala wenu unadhalilisha watanzania?

mwizi ni mwizi tu,,hawezi kuchaguliwa jina,wala kueshimiwa,,ukimueshimu mwizi lazima uta kuwa na matatizo ya kiakili.
 
kama wewe ni liccm lazima usikitishwe.ulitaka mpewe hashima wakati utawala wenu unadhalilisha watanzania?

uko sahihi mkuu,waeleze ukweli hawa gambaz,wamezoea kusifiwa hata pale wanapokwenda agaist na katiba ya nchi,pumbafu zenyu maccm
 
kimsingi nazid kuamin kwamba ni kweli chadema hawajui wanachokifanya zaidi ya kutafuta huruma za wananchi ambao wamewafaham kuwa ni wakorofi waliojaa matusi' ccm itabaki kuwa chama tulivu kilichostaarabika' nimeiangalia ile hotuba kwa kweli inasikitisha sana"
 
Back
Top Bottom