Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

acha kuzingua ulizima redio..najua uliumia saana na miiba ya Lisu, hakuna sababu ya kumuheshimu mtu asiye heshimu watu!! kwani wewe ujawahi kuitwa au kumuita mtoto wako jina tofauti na ulilompaka kama mshenzi, mjinga n.k....na kwa nini ulimuita hivyo..kuna kitu kisicho kizur alifanya..
 
Wewe ndi mmoja wa hiyo miCCM au maCCM. Wakawa wengi unaweza kuwaita maCCM. Kwa taarifa yako mmoja ya wanasiasa anaejua anachokisema ni TUNDU LISSU. Msomi mzuri wa LLM pale Warwick. MANYANI bwana mtu anakupigania haki yako upate KATIBA nzuri unalalamika. Hiyo miCCM inatazidi kukuweka katika umasikini na hali duni. Msomi mzuri na mpenda maendeleo ya Tanzania basi atakuwa ni mtu mwenye kutaka changes. What CCM have done to you in past 50 yrs?. TZ ni moja ya nchi maskini sana dunia kwenye list tupo mwisho mwisho. Chama kingine (eg CHADEMA) hakiwezi kurudisha nyuma zaidi ya tulipo sasa. However hiyo miCCM will take us further down.

Mbona matusi ni sifa yenu kuu. Siku mkishika dola nitahama nchi...
 
Mkutano wa katiba ya cuf, nncr, cdm umeisha, vp ndoa inaendelea?
 
Haihusu kitu kuwa na nidhamu kwa chama cha majangili, wauza unga, magaidi na mafisadi. Nidhamu siku zote ni two way traffic, kama ulikuwa hulijui hilo basi kuanzia leo lifahamu rasmi.

Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
 
Kwani we hujui kuwa jamaa kichwani ana matatizo? Kigwangala alishagamwambia aende akampe tiba.
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

We endelea kusikitika situna songa mbele na katiba.
 
Wewe ndio wale wale punda wa mafisadi AKA buku 7 wasaliti wa Watanzania huna lolote ulijualo zaidi ya kuwasaliti Watanzania wenzio kwa ujira mdogo sana wa buku 7 huku hao unaowatetea wakichota matrilioni ya pesa za walipa kodi kila mwaka.

bang na viroba ungemnusa ukajua tatizo sio yeye ni majan mabaya
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Ningeshangaa kama ungefurahishwa na kauli maana sijawahi kusikia WANAMAGAMBA wakawa wamefurahia sauti za wanamapinduzi wa ukweli zikipaa hewani kusisitiza mapinduzi ya kweli kwa wanyonge wavujajasho wa Tanzania.

Sema ulikuwa unataka kwenda kutimiza adhima yako ya kukata kilevi siku ya wikendi.......
 
Ha! Ha! Ha! Ha! CCM ni kama DUBWASHA kuubwa linaloleta maafa kwenye jamii , kisu kimegonga kwenye mfupa mjomba , pole sana , MACCM bhana !
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

CC: Mh. Lusinde aka Kibajaji, Nape, Werema, Lukuvi and co.
 
Dung'unyi tumemchoka Tundu Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.

mbona unawasemea wenzio?
 
Nimeshindwa kuelewa Comment hii kwani tangu wakati nasoma Dung'unyi, Parokia ya Dungunyi ilikuwa na umeme sasa huu unaotaka waunganishiwe sasa naona unatafuta tu kusema hapo sijaona hoja, hebu jaribu kutafuta nyingine inayoelweka
 
Hata huku karatu maccm yalikuwa kila mwaka yanajifariji tu enzi za Dr. Slaa akiwa mbunge lakini yalichoka na sasa amewafuata huko juu! Halafu aliyewakera leo ni Lissu tu? au woga wenu kwa CHADEMA?
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

mmmh! hii haiwezi kuwa bure. mbona imekutachi sana; au upo kwenye orodha hiyo ya maccm. o oh. masopakyindi ni singular. kwa hiyo hapo utakuwa liccm. ha ha ha ha... kuna tusi gani kwani hapo?
 
Back
Top Bottom