Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Sidhani kama Lissu ana kauli chafu kuwashinda nape na naibu wa spika, anza na hao kwanza.
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Tena utakunywa sana, mbona hukunywa siku ile bunge liliponajisiwa kwa kuamuru maaskari wa bunge kuingia ndani. Kumbe tunsoma story za mlevi. Pole kamanda maana hatuwezi kufanana wote. Itabidi uvumilie tu maana wakati pesa za EPA zinaporwa mbona hukwenda kunywa pombe, wakati wanauawa akina Mwangosi, kutekwa kwa akina ulimboka, na wanapomwagiwa tindikali na serikali kuahidi itawatafuta na mpaka leo hakuan kitu chochote hunywi pombe mbona unajichanganya.
 
ulitaka aseme mpenzi CCM? unafiki ni sumu ya maendeleo. call a spade a spade.
 
Bila Lissu unafikiri tutayabanduaje magamba, magamba lazima yakaushwe na yachomwe kwa lugha kali,,
 
...maccm kwa kulalamika bhana,eti yaitwe vizuri..!? Kutenda yatende uovu afu yaitwe vizuri nyambafu maccm...
 
Lusinde,mwigulu., nyiye mnaopinga nitajie hata siku moja wameisema vizuri chadema au Lissu mwenyewe. hata hivyo naona lissu amejaribu kupunguza ukali wa maneno. sijui angewaita jina gani kwa jinsi wanavyomchosha na makesi yao yasiyoisha. big up lissu kiboko ya maccm. naona nyinyi mnapenda zaidi jina la magamba au kwa vile mmelitafuta wenyewe.
 
hahaha safi sana tundu lissu,
ukirusha jiwe kwenye giza alafu ukaskia ahAAA!! ujue jiwe limempata muhusika.
 
Eti hizo ni kauli za watu wanaotaka siku moja wawe viongozi wa nchi hii, Watanzania wa wapi watakaowapa hiyo ridhaa?

Kauli za Mh Tundu Lissu kama za mhamiaji haramu katibu wa miccm
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Haya kachukue Buku Saba zako mbwiga p..!!
Li Ccm wewe
 
Haya kachukue Buku Saba zako mbwiga ..!!
Li Ccm wewe
 
Dung'unyi tumemchoka Tundu Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.

mbona hujasema siku zote?kwanini leo?
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Ndo unaelekea kwenye kinywaji au ndo umetoka kwenye kinywaji?
 
Sitegemei hata siku moja buku saba FC akafurahishwa na kamanda yeyote na siku ikitokea hivyo ujue mtu huyo amekihujumu chama, kwa hiyo mkuu hizo buku 7 kumbe mnanywea tu maana umesema unaenda kwenye kanywaji.....wekeza mkuu au ni hela ya laana maana ni malipo yanayotokana na usaliti
 
alikuwa ana maanisha MACCM KAMA HAYA???
 
Attachments

  • CCM VITAMBI.jpg
    CCM VITAMBI.jpg
    98.3 KB · Views: 1,081
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Wapinzan wanajihami
 
Back
Top Bottom