Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
Nafikiri hujanielewa Allien kufika tunafika ila sio kama unavyosema mara kumi for 30 mnts hii haipo pampja na vithibitishi vyako hivyo tupige kura humu nani kaexperience kitu cha namna hiyo. Unaweza ukawa unacome kila tendo na unaridhika hivyohivyo. na siku ingine ukabahatika mara tatu siku nyingine ukakosa kabisa. pamoja na evidence yako sasa tuje kinadharia zaidi nani humu jf kapata kitu kama hicho???????? wanawake tu naomba wanijibu, nani hajawahi kufake orgasm??????? nijibuni. hao maresercher wenyewe wanaweza wakapigwa changa la macho wakati wanafanya research zao