Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

Well written, also:

Study your partner as much as u can and understand her most sensitive parts. There are people are able to make their spouses me/women cum out even on phone leave aside physical sex. So guys learn how to:

1. Use your voice to motivate your partner to cum

2. Allocate her G-Spot hapo ni mwisho wa maarifa. she can cum like a pipe of water. ubeliavable.

3. Locate other sensitive parts like breasts, earlobes, inner hips, massaging etc etc etc

4. Dont go in yet until your partner has caught up the maximum heat . . .

anzisha shule kakangu uwaelezee awa bnadamu
 
Huo uchunguzi umeufanyia nchi gani?, mkoa gani?. Kwa tanzania wanawake wa dar ndo hodari kwa kutofika kileleni: but why? , baba ana amka saa 10.30 kwenda job, anarudi saa 4, ana lala saa 6, muda wa game ni saa 6 mpaka 7 ili baba awahi kuamka saa 10.30. Soo no time for prepation, rest and so on..................................

Mkuu kweli hapa kuna ukweli ndani yake, tena baba anarudi saa 4 yuko mtungi akikamua chakwanza (kile cha fasta) tu analala kama gogo!!
 
Not necessarily true.

Its about sex techniques and know more about your partners body and sensitive parts.

Sex is not about intercourse only . . . it combines the mind, soul, spirit and the physical being.

Men has roles to play. Having a woman cumming even more than 10 times in 30 minutes intercourse is normal for experienced top of the line lovers.

If your partner also enjoys sex, never be suprised she can hit even > 30 times.

Wengine tunaogopa hata kusema the best number of times can cum, tunaweza kuambiwa waongo. Read read read and understand your partner.

A.

Kaka angu usidanganyike mwanamke akikwambia amecome mara kumi for 30mnts wengi huwa wanafake sana hata mara tano ya sita ndio inakuwa ya ukweli yote ni kumwonyesha mpenzi wake kwamba amempatia. Hata tukikaa pamoja wanawake kumi ukiwauliza watakwambia hivi. ila sanasana ukijitahidi atacome mara 3 tu. na hiyo ni kwa kila tendo mara moja au mara mbili kwa tendo moja.

Pia wanawake tunachelewa kucome ili kuwaridhisha wanaume, wengi wa wanawake wanafika wakiwa wamelala kifo cha mende wachache kwa style nyingine, sasa utakuta mwanaume amekupinda mastyle ya ajabuajabu unavumilia kwa kumridhisha yeye then akija kumalizia chali hapo mwendo mdundo.

Pia kuna hili la kuhakikisha you look beautiful so unakuwa bize kumake faces sasa akili ikihamia huko kuhakikisha unakuwaje au unaonekanaje usoni ndio nayo inatucost pia baadhi na sio wote.hii hautafanya kama upo na mtu uliyemzoea.ukiwa na uliyemzoea unakuwa free hata kukunja uso kumwambia fanyahivi na vile.sababu ziko nyingi hizi ni baadhi tu
 
ndg yangu nina vmeo usipime ..mpaka muda autosh tena
bt nipo
ushadondoka da?m watng 4u

Yaani Rose,nina wageni wananitesa japo nawapenda....sina ratiba tena ila nafuata yao
Nikidondoka tu hapo,utajuwa wa kwanza kujua.....napigika sasa!!!
 
Watu mtawafanya dada zetu wengine wajisikie duni bure au wajitahidi kufika "kileleni"; si wanawake wote wanaoweza kufika kileleni na "kilele" kwa wanawake tofauti chaweza kuwa na maana tofauti. Mwanamke kupiga kelele kuwa amefikia mwisho haina maana amefikia kileleni... think about it - na haina maana hajaenjoy makutano ya miili.
 
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

Wadau wa malavidavi mpooooooo?
mmmh,mengine yana ukweli na mengine hayana ukweli
 
utajuaje kama umekick tu G spot?

Hahahahaha,jina lako bana haya ndo maana huelewi

Anyway,utajua tu some times ata "ejaculate".....shocked?yes atakojoa or utaona tu anavo badilika,diffuctult to explain hii ya mwisho
 
Kaka angu usidanganyike mwanamke akikwambia amecome mara kumi for 30mnts wengi huwa wanafake sana hata mara tano ya sita ndio inakuwa ya ukweli yote ni kumwonyesha mpenzi wake kwamba amempatia. Hata tukikaa pamoja wanawake kumi ukiwauliza watakwambia hivi. ila sanasana ukijitahidi atacome mara 3 tu. na hiyo ni kwa kila tendo mara moja au mara mbili kwa tendo moja.

Pia wanawake tunachelewa kucome ili kuwaridhisha wanaume, wengi wa wanawake wanafika wakiwa wamelala kifo cha mende wachache kwa style nyingine, sasa utakuta mwanaume amekupinda mastyle ya ajabuajabu unavumilia kwa kumridhisha yeye then akija kumalizia chali hapo mwendo mdundo.

Pia kuna hili la kuhakikisha you look beautiful so unakuwa bize kumake faces sasa akili ikihamia huko kuhakikisha unakuwaje au unaonekanaje usoni ndio nayo inatucost pia baadhi na sio wote.hii hautafanya kama upo na mtu uliyemzoea.ukiwa na uliyemzoea unakuwa free hata kukunja uso kumwambia fanyahivi na vile.sababu ziko nyingi hizi ni baadhi tu

Mkuu; hakika hujafanya research ya uhakika au hao ulioongea nao waume zao they are not learned lovers.

Sizungumzii uzushi, nazungumzia facts ambazo ni za uhakika na kweli, au hadi uwekewe data?

Wenye shida ya kufika wanaweza kuwa na some pyschological problems or frigidity in a way. Just like wanaume wengine ambao jogoo hapandi mtungi . . . .

PM me and will give you a couple of sites and research statistics.
 
Watu mtawafanya dada zetu wengine wajisikie duni bure au wajitahidi kufika "kileleni"; si wanawake wote wanaoweza kufika kileleni na "kilele" kwa wanawake tofauti chaweza kuwa na maana tofauti. Mwanamke kupiga kelele kuwa amefikia mwisho haina maana amefikia kileleni... think about it - na haina maana hajaenjoy makutano ya miili.

MKJJ unayosema ni kweli but ni kwa kiwango kidogo.

Anatomy ya binadamu inafanana execept for some pyschological issues na some medical reasons. But fact is a fact.

Kupiga makelele ni kweli haina maana mtu kafika baali hizo ni mbwewe tu za shughuli na wanaofake wana biashara zao au maana wanaoijua wao, but the facts remains the same, that: Given a proper conducive enviroment, a woman can make it as many times as she wishes.

A.
 
Ili mwanamke aweze kufika kileleni lazima awe ameandaliwa kisaikolojia kabla ya kufanya hilo tendo. Mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumuandaa mwanamke huyo, anawajibu wa kumhakikishia kuwa anachokitegemea ndani ya hayo mahusiano ni kweli na bayana ili asiwe na hofu kuwa unamdanganya au unamtumia then baada ya hapo wewe unashika ustarabu wako. Kumbuka kujamiiayana ni kitu chenye thamani kubwa kwa mwanamke,ni sawa na kutoa utu wake kwako, kwahiyo kama bado hajiami na hayo uliyo muahidi mawazo yake hayatokuwa kwenye hilo tendo bali atakuwa anawaza madhara endapo hutotimiza uliyo muahidi. Kwahiyo wanawake kutofika kileleni wanaume tunaweza kuwa tunachangia kwa kiasi kikubwa kwasababu wengi wetu tunawadanganya mambo ambayo ndani ya mioyo yetu hayapo kabisa.

Nani ana wajibu wa kumuandaa mwanaume au yeye hahitaji kuandaliwa? Hivi kwenye hili tendo kumbe hakuna fursa sawa kwa wote?
 
anzisha shule kakangu uwaelezee awa bnadamu

Pamoja tunaweza. Ni wajibu kuelimishana.

Na nyie wakina dada pia be open in communication na Wenzi wenu. Waambieni ni nini mnataka, mguswe wapi na mfanywe nini.

Si na nyie akina dada mnagangamaa. kama gogo unamsubiri Mzee amalize unafikiri ni halali yake tu yeye kuenjot na climax na wala si wewe.

That is an old school thought. So tusaidiane
 
kiukweli wengi wetu uwa hawafanyi mapenzi uwa wanafanya matusi na ndio maana hawafiki?kufikishwa kileleni
 
ONE thing i dont understand whereas dada zetu kufika cloud 9 ni issue,mbona CAUCASIANS get there effortlessly-this has been troubling my mind for some time-au hizi anatomy zina differ?
 
Back
Top Bottom