Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Basi inaonyesha Babaubaya unaongelea mtu tofauti, maana huyu anayeongelewa hapa alifariki 2008!
Mtafute mshikaji wako umuulize!, usije ukapata shock ya bure!

Lakini kakwambia alikuwa nae 2000 - 2001. Well before 2008!
 
apart from kufanya kazi vodacom.....hayati jane alikuwa nani? why so spaecial bna huyu dada..rip jane

Jane ni binadamu kama ulivyo wewe. Tuna kila haki ya kusikia au kupata taarifa za binadamu mwenzetu. Kaka wewe umekuwa ni mtu wa kupata taarifa za watu maarufu tu, basi huna haja ya kuchangia kama unaona sio mtu anayekupendezesha wewe. RIP JANE.
 
RIP the deceased much as this is my first time to hear of you. I'm also curious about knowing what is behind your fame to an extent of prompting the starting of thread concerning your death information.

Nenda kwanza Modern college ukajifunze kiingereza ndiyo uje hapa na pumba zako. Damn you!
 
Poleni sana familia nzima ya Mponzi kwa msiba huu mkubwa. Pole sana kwa mwanawe ambaye sasa amepotelewa na wazazi wote wawili katika muda mfupi. Mungu Awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!

Pumzika kwa Amani!
 
Altitude inahusikaje hapo mkubwa?.....Halafu hiyo RIP yako ni kejeli tupu!

al·ti·tude
   [al-ti-tood, -tyood] Show IPA
noun 1. the height of anything above a given planetary reference plane, especially above sea level on earth.

2. extent or distance upward; height.

3. Astronomy . the angular distance of a heavenly body above the horizon.

4. Geometry . a. the perpendicular distance from the vertex of a figure to the side opposite the vertex.

b. the line through the vertex of a figure perpendicular to the base.

5. Usually, altitudes. a high place or region: mountain altitudes.
sorry mkuu nimekosea kingereza....RIP dada Jane
 
R.I.P dada,
ukiwa umeshamkumba mtoto,
atakimbilia tena wapi wakuu.
 
ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....

Unayoongea inawezekana ni kweli lakn natamani ingekuwepo kitufe cha dislike nikugongee.Una jaji bila hata ya kuwa na historia ya huyu dada.Siku hizi hata vimbaumbau wana magonjwa ya moyo.
Enewei meseji sent..tutafanya mazoezi na kuacha chips
 
Wewe unapiga tizi?
 
kwa mwili wa dada yetu Jane ni wazi kabisa kuwa alikuwa over weight....mkubali mkatae....obesity ni gonjwa linaloshambulia watu wasioofuata mlo bora...na hii iko kwa kasa sana tanzania kwa sasa......hasa vijana kazi nyingi,mlolongo wa stress na mlo mbovu na kutokufanya mazoezi vinafanya wengi kushambuliwa na shinikizo la damu....

Sio kwa mba natoa kejeli au simheshimu marehemu..la hasha....ni angalizo kwetu tuliobakia....tuwe na kasumba ya kula mlo bora nikiwa na maana mboha mboga,matunda,wanga na kupuinguza kwa wingi vyakula vya mafuta.......
pia kushiriki mazoezi ni muhimu.....ndio ukweli huo wakuu.....najua tupo kwenye majonzi lakini kwetu sisi ni jambo jema tukajikinga na maradhi ambayo yanaweza kuepukika.....
 
Vipi Leonidas Gama?
 
Wewe unapiga tizi?
mazoezi nafanya kiasi chake......ila kutokanana kubanwa na muda alionipangia muajili nashindwa kuwa ontime na mazoezi.....ila nashukuru Mungu kwa siku atleast natemmbea kilomita 1 inatosha ku burn calorizi.......na pia nimeamua kuwa na adabu na kuwa na chaguzi mathubuti kwenye milo yangu....
 
Vipi Leonidas Gama?
Gama na mwenzake john komba watakufa mapema kama hawatabadilia style ya maisha yao......wana ongezeko na mlindikano mkubwa wa mafuta mwilini mwao..ambao ndio inachangia kwa kasi kikubwa heart attack.....na kwa komba ni mbaya zaidi maana mbali na kuwa na mwili ule pia ni mzinzi wa kutupwa......kitendo kile kina consume msukumo mkubwa damu na mtu kama yule vains zake hazipitishi damu balabala....soon he'll die kwa heart attack
 
duuuu!!!!
 
Obesity Tanzania???? Do u real mean what u are saying au umekariri tu!!! Hapa vitu vyote organic(Tena sio tu organic, but natural kutoka shamba lisilotiwa hata mbolea) mkuu unatoa wapi Obesity katika nchi kama hii???

Back
Top Bottom