Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Dada yetu Mpendwa Jane Mponzi aliyewahi kufanya kazi VODACOM amefariki dunia ghafla jana asubuhi,Ndugu wa karibu wamesema alipatwa na "Heart attack" Jane aliolewa na Herry Makange (Marehemu) aliyekuwa Channel 10 na alifariki kwa ajali ya Boda boda Tegeta. Msiba upo Oysterbay Barabara ya Msasani Baada ya Jackies Bar unaingia mtaa wa kulia kabla ya kile kilima maarufu. MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN!

Natumaini naye aliwahi kuwa MwanaJF kwani alikuwa mtu wa Mtandao.
 
MPONZI.JPG
 
Bwana alitoa na jana aliamua kukitwaa kiumbe chake.RIP Jane"Mama Melanie"
 
Ni dhahiri alikuwa mtu wa watu....kifo cha huyu dada kimekuwa gumzo toka jana taarifa zilivyoanza kusambaa kuwa amefariki. Moyo wangu unaumia nikiwazia mtoto aliechwa yatima...RIP Jane...Poleni sana wanafamilia, ndugu na marafiki wote
 
Shocked!
Sikupata kusikia kama Herry Makange alifariki, nilimfahamu alikuwa rafiki wa mshikaji wangu Widimi wakiwa pale Ilala Bungoni Miaka ya 2000-2001!

RIP Herry Makange,
RIP Jane Mponzi
.
 

ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....
 
Shocked!
Sikupata kusikia kama Herry Makange alifariki, nilimfahamu alikuwa rafiki wa mshikaji wangu Widimi wakiwa pale Ilala Bungoni Miaka ya 2000-2001!

RIP Herry Makange,
RIP Jane Mponzi
.

Herry Makange alifariki mwishoni mwa mwaka 2008. kuna thread iliwahi kutundikwa humu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom