Umenikumbusha mbali Sanaaaaaa Mkuu, miaka Kama 10 iliyopita nilikua huko Nakapanya nilikwenda kutembea,na rafiki zangu kuna babu tulikutana nae akatutembeza sana anaitwa Mzee Hassan anaishii huko nakapanyaaa.. Akasema Yuko na family yake arabuni wataitwaa kina yasin ,Said yasin, Zuberi yasin, Khalfan yasin, Abdullah Yasin,wengine tanga lakini alitupokea vizuri sanaaaa...