Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

Mmmh tigo iko salama kweli bwasheee, maana kama hukujitambua inawezekana wamekula utumbo mpana pia
 
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
Ndio wewe walikuwa wanakutetea usifilimbwe ?
 
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
Vipi daktari amekucheki marinda yako intact kweli? Jamaa inawezekana wamechana nyavu, na hivi ulikua hujitambui, hebu jikague mkuu.
 
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
Naomba nikushauri... Ijapokuwa wamekudunda ila gambe usiache blaza....

Hatupoi na usikubali kupoa
 
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
Ajali kazini,usiache kuchakata mbususu
 
Una uhakika hawakutumia bidhaa za Nivea kama kilainishi...

Usirudie tena,,, unajiweka rehani... Watu wameharibika sana...

Usipojiheshimu wewe basi heshimu marinda hayo... Kiazi wew..
 
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
Cheki na rinda huenda wameshalitatua
 
Humu jana tu kuna mtu alileta uzi katafuna tigo ya mgoni wake leo hii wewe unaleta uzi umefumaniwa ukapigwa hadi kupitoza fahamu ngoja tuumganishe nukta hapa
 
Bora umeambulia kipigo, wenzako huwa wanaliwa KIBOGA bila uoga.

Kaa na daktari pembeni akupe majibu yakinifu😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom