Jamiiforums usiyo ijua!?

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Jukwaa huru ambalo kila mtu anaweza kulitumia kwa faida zake au na wengine bila kutozwa gharama zozote na uongozi wake.Pia Viongozi wake wana moyo wa kujitolea kufanyakazi bila malipo yoyote ili kuboresha jukwaa hili,maskini wasipo waridhisha baadhi ya wanachama wanalalamika unafikiri wamewajiri wawafanyie hicho wanachokitaka.
Viongozi wamekuwa mstari wa mbele ktk kusaidia wanaohitaji msaada lakini wanachama wamekuwa nyuma kusaidia wanaohitaji,wakati mwingine kuwakatisha tamaa hata viongozi wa JF.
Wahenga walisema adui muombee njaa,ni kweli kabisa lakini,Ndugu zetu waathirika wa mafuriko ni ADUI ZETU?
Tuungane na uongoze wa JF ktk kusaidia wahanga hawa.
HII NDIO JF USIYOIJUA
 
Aksante kwa Changamoto Shycase.

Together we can!

Njia za kuchangia wahanga wa mafuriko ziko wazi kwa wanajf wote,( hii hapa ),nadhani baadhi wamerespond, na wengine wanaendelea.

Mkono mtupu haurambwi.
 
Back
Top Bottom