dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 5,072
- 13,810
ongea mwenyewe kichwani anzisha mazungumzo kama unaongea na mtu mwingineNimekosa usingiz and no one to talk to 🥺
ongea mwenyewe kichwani anzisha mazungumzo kama unaongea na mtu mwingineNimekosa usingiz and no one to talk to 🥺
BarcaBwashee wewe ni shabiki wa Manchester United?
That's utter madnessongea mwenyewe kichwani anzisha mazungumzo kama unaongea na mtu mwingine
So why we get drunklight one smoke one, living young and wild and free
Ongea na mimi hapaNimekosa usingiz and no one to talk to 🥺
Hii week nimepangiwa zamu, si unajua mshahara umekaribia😎Aaah madam taratibu sasa haya leo lindo lako ili
😅 sio, inasaidia sana anza mdogo mdogo mwisho utazoea na hutakuwa bored kabisaThat's utter madness
Mkuu unakua kinyume na nature ya kua in pair as human😅 sio, inasaidia sana anza mdogo mdogo mwisho utazoea na hutakuwa bored kabisa
Niambie matatizo yako yote niweze kuyatatua😝Niambie Seran🫠
sidhani kama nature imetuweka kuwa in pairs sababu kama ni hivyo basi tungekuwa na schronized mind lakini kila mtu ana mind yako hivyo sisi ni individual being na pairs ni more social needsMkuu unakua kinyume na nature ya kua in pair as human
NdioMatatizo yote??
View attachment 3719093
Katika maombi aseeh waombee sana shabiki wa migos na united na hivi January inakaribiaBarca
Mshahara upi tena au kuna mgao mara mbili inasubiliwa pesa ya lesheni tu hakika Ertugrul Bey anaupiga mwingiHii week nimepangiwa zamu, si unajua mshahara umekaribia😎
Mimi bado aijqlipwa nikimaliza shift mwezi wnagu huu ndio bqsi tena😎Mshahara upi tena au kuna mgao mara mbili inasubiliwa pesa ya lesheni tu hakika Ertugrul Bey anaupiga mwingi
Usiache kazi kabla hujapata kaziMimi bado aijqlipwa nikimaliza shift mwezi wnagu huu ndio bqsi tena😎
Hakuna nqchoelewa mpaka sasa nasubiri niome nyie wasomi mnasemaje niende na upepo!Usiache kazi kabla hujapata kazi
Hivi ongezeko la joto sasa ni matokeo ya ongezeko ya maaswi sana katika jamii kama wazee wasemavyo au ni mabadiliko ya tabia ya nchi tu
Joto limekua kali haswaaHakuna nqchoelewa mpaka sasa nasubiri niome nyie wasomi mnasemaje niende na upepo!
Hujaenda kwa fally?
Aisee hata wa kukuchangia tu umekosa?🫢Joto limekua kali haswaa
Fally nilipenda kwenda ila sasa bajeti yake ipo nje ya uwezo wangu