JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimeipenda hii baby girl, hataki mtoto mzuri upate shida,safi sana

Ila mwambie kabisa nipo sub huku nje! Akizingua hiyo chuma naimendea🤣🤣
kachoka simu zangu za malalamiko kila siku mara naumwa mgongo, mara nimeungua ndo maan kanishauri nitafute dada ila atakua anamlipa yeye

😅😅😅 naomba hapo chini uandike kwa herufi kubwa ili asijisahau😍
 
kachoka simu zangu za malalamiko kila siku mara naumwa mgongo, mara nimeungua ndo maan kanishauri nitafute dada ila atakua anamlipa yeye

😅😅😅 naomba hapo chini uandike kwa herufi kubwa ili asijisahau😍
Huyu ni mwanangu sana ujue,naogopa kuandika kwa herufi kubwa sana ataona namsnichi

Ila

Ndo hivyo ajue tu nipo Sub!
 
Back
Top Bottom