ukimuona huyo mtu mwambie nampenda sana😍😘,, mi pia kuna mtu humu huwa namkumbuka ispokua no 2 tu maana nilidelete chat zetu kwa hasiraaaa🤣 tulikua tunapendana sanaaa ila shetani alituzidia nguvu,, nayakumbuka mazuri yako girlfriend 🥰hivi ni baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo huenda hutakuja kujua
1. kuna mtu bado anakumbuka kitu cha muhimu ulichomfanyia hata kama kwako kilikuwa cha kawaida
2.kuna mtu anasoma meseji zako huku akitabasamu
3.kuna mtu amekuwa inspired na maisha yako kimya kimya bila kusema
4. kuna mtu alikutetea kipindi haupo
5. kuna mtu alishawahi kuku kubali sana ila hakusema
6. jina lako limetajwa kwenye maongezi ambayo hutakuja kuyasikia win-one Seran Ertugrul Bey ShesRise_1
Kadri umri unavyosgoea ndo usingizi unazidi kupotea0146+
Utotoni unalazishwa kula Dunia inaenda kas sanaKadri umri unavyosgoea ndo usingizi unazidi kupotea