Kongole sana , Mimi miaka 9 nilikuwa sina ban nimepata mwaka huu tokea nilivyojiunga 2017 .Alhamduliillah nina six years jf wala sijui ban ni kitu gani
The ghayo's hahahaKongole sana , Mimi miaka 9 nilikuwa sina ban nimepata mwaka huu tokea nilivyojiunga 2017 .
Wewe hauna kashikashi nzito sijaona ukifikia hatua ukawa na majibizano makali ya hasira na kutukanana na mabifu jukwaani .
Ila Mimi inafikia stage mpaka nawindwa na Magenge ya kihalifu humu
Hio nimechunguza kwa umakini humu watu hawafanani Kuna hadhi , kosa ambalo mwingine hacheleweshwi ila kwa mwingine inaweza kumlamba.Hili ni kweli kabisa.
Sawa nimekusomaHapana mkuu, hiyo si yangu.
Hoja unamjengea nani? Nani anataka kusikiliza hoja now? Tunasikiliza trends tu.."Legend wa kweli wa JF si yule anayejua kutukana, bali anayejua kujenga hoja bila kuvunja kanuni."
2309 hrsUsiku wa Manane for life!
Kwahiyo sasa hivi watu hawana mambo mengi au sio🤣🤣Hoja unamjengea nani? Nani anataka kusikiliza hoja now? Tunasikiliza trends tu..
Hiyo JF unayoiaddress haipo tena
Sema Mimi siwalaumu kwa sababu hawajawahi kunionea. Kweli huwa naporomosha matusi makavu makavu.Hio nimechunguza kwa umakini humu watu hawafanani Kuna hadhi , kosa ambalo mwingine hacheleweshwi ila kwa mwingine inaweza kumlamba.