Safii...Napenda sana kuandika nina viNote book kibao , nikishiba kazi kuandika tu ilimradi nimeandika 😂 View attachment 3694150
Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁Sio kipochi kuwa na heshima ni kibegi changu , na muandiko ni wangu sina Manzi Mimi , jinsi nilivyo na usongo wa Maisha napata wapi muda wa kuwa na Manzi , kumuita baby sijui my na kumCare ?😆😎View attachment 3694145
Hiko ni kibegi changu Cha Mitikasi kila sehemu nipo nachoView attachment 3694148
Haya bwana sie wengine tuliacha tulivyo kuwa darasa la nneNapenda sana kuandika nina viNote book kibao , nikishiba kazi kuandika tu ilimradi nimeandika 😂 View attachment 3694150
Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁
na una kimuandiko cha kupodoa mpka unanizidi,Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .
Nikiwa katika sekta ya ujenziView attachment 3694287
Nikiwa katika kilimbo cha mbogamboga
View attachment 3694290
Nikiwa katika sekta ya kubangua Korosho na kuuza
View attachment 3694291
Nikiwa sekta ya ufugaji na kuhudumua mifugoView attachment 3694293
Nafanya hayo yote huku nikiwa bado nasoma , najiita Gunman kwenye mitikasi nikikamata silaha sijiulizi mara mbili ni kulenga shabaha tuView attachment 3694299
Wa kupodoa sio mwandiko wangu rasmi japo unataka kufanana , wa kupodoa natumia makusudi nikitaka kuremba 😆na una kimuandiko cha kupodoa mpka unanizidi,
Kirukuu nzuri sana na ni katika movie iliyotrend zaidi bongo enzi zake ilikuwa sio mtoto wala mkubwa. Wiki iliyopita tu Mimi niliwaza niingie YouTube nikacheki Kirikou part 2mimi na akili zangu timamu nimeamua kuangalia kirikuu kwa mara nyingine tena bila kushurutishwa na mtu
hiyo tingaTinga ndo ipi? mi siifahamu hebu tuma cover kesho niamke nayoKirukuu nzuri sana na ni katika movie iliyotrend zaidi bongo enzi zake ilikuwa sio mtoto wala mkubwa. Wiki iliyopita tu Mimi niliwaza niingie YouTube nikacheki Kirikou part 2
Mimi nimeImiss zaidi ile part two wanayoongea kifaransa , na Kuna ile Tingatinga ya Wanyama niliikubali sana na kajimbo chao
hebu tuone huo mwandiko wako rasmi kama haujapodoa😄Wa kupodoa sio mwandiko wangu rasmi japo unataka kufanana , wa kupodoa natumia makusudi nikitaka kuremba 😆
Mwandiko wako upo smart sana , umeenda shule na unaingia katika miandiko bora na mizuri niliyowahi kuiona
Kirikuu part 2 ipo na ni Kali sana ilitoka miaka ile ile .hiyo tingaTinga ndo ipi? mi siifahamu hebu tuma cover kesho niamke nayo
hiyo kirikuu part 2 mi sijaiona
Huo upo kihuni sana , sijawahi kuupiga picha nikipata nafasi ya kutembelea nyumbani nitaingia makumbusho yangu kuchukua daftari moja la zamani nipige picha 😂hebu tuone huo mwandiko wako rasmi kama haujapodoa😄
senkiyuuu japo kuandika kwenye plain paper sijajua maandishi huwa yanapinda mpka niandikie rula
Huu uzi hausikitishi mkuuInasikitisha sana