Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,937
- 2,580
wewe saa tatu kasoro 4 ni matumizi mazuri???????????????Uzi huu wa usiku wa manane wewe saa mbili usiku kuComment ni Matumizi Mabaya ya uzi
naombeni mpigane nina siku nyingi sijashuhudia ndondi😄😄😄wewe saa tatu kasoro 4 ni matumizi mazuri???????????????
nashangaa hajaona nyie toka mchana huko huyu said adris huyunaombeni mpigane nina siku nyingi sijashuhudia ndondi😄😄😄
jokes bana,, huku tunachart mda wowote hata mchana fresh tu maan tunatofautina sehemu tuliopo
Wewe inaonekana upo tungi tayarinashangaa hajaona nyie toka mchana huko huyu said adris huyu
Nimekuja kuelimisha Matumizi sahihi ya Uzi 😂wewe saa tatu kasoro 4 ni matumizi mazuri???????????????
Mkuu, hutaki kukumbuka maua🤣🤣🤣?muda niloupoteza kwenye stigma, sepal, na petal ningeutumia kuuza kashata ningekua mbali mno
sitaki kabisa😆Mkuu, hutaki kukumbuka maua🤣🤣🤣?
Sema elimu yetu yakiboya sana, Kuna watu mbinguni watapasikia tuu.
Mbu nao wapate chochote kituusiku umewadia
sikuhizi wanaibuka hata mchanaMbu nao wapate chochote kitu
Mchana hawanipati nashinda nazurulasikuhizi wanaibuka hata mchana
kuku wa kienyeji au vipi😆Mchana hawanipati nashinda nazurula
Ndo habari hiyo pesa tu inanikimbizakuku wa kienyeji au vipi😆