ma mkubwa usinune jamni sa nani atanisaidia kulea๐ชBaby girl mimi mama mkubwa nimekununia ๐๐
Una jeuriiiiii na hicho kitoto nikija nitakiminya mashavu huruma sio malezi๐คฃ๐คฃma mkubwa usinune jamni sa nani atanisaidia kulea๐ช
woi woi kitoto chenyewe hiki nimekipata uzeeni ndo unataka ukinyanyase๐ช๐ช roho yangu hii ujue๐ ๐ ๐Una jeuriiiiii na hicho kitoto nikija nitakiminya mashavu huruma sio malezi๐คฃ๐คฃ
Weka sukari ๐๐woi woi kitoto chenyewe hiki nimekipata uzeeni ndo unataka ukinyanyase๐ช๐ช roho yangu hii ujue๐ ๐ ๐
hii chai inavutia mno ukipatia na biscuit au samosa๐Weka sukari ๐๐
ukimuona mwambie namsubiriHuyu mwamba kapotea kama yesu Intelligent businessman
Ili iweje bintiukimuona mwambie namsubiri
we mwambie hayo mengine achana nayoIli iweje binti
Sawa kama akirejea tena ni muda sasa haonekani jukwaani ila mara ya mwisho alilalama anaumwawe mwambie hayo mengine achana nayo
Njoo weekend nikupikie babeshii chai inavutia mno ukipatia na biscuit au samosa๐
najuaSawa kama akirejea tena ni muda sasa haonekani jukwaani ila mara ya mwisho alilalama anaumwa
say no moooa ma mkubwa wake kichanga changuโบ๏ธ๐Njoo weekend nikupikie babes
mi nakupenda pia sijajua huyo mwenzangu maana kasema mahaba yake yapo kwa mtoto wangu saivi๐ ๐ ๐ ๐Huwa nainjoy sana conv zenu ShesRise_1 na win-one jokes za hapa na pale,kifupi mnanoga sana ,Nawapenda
Ma mkubwa sina bayasay no moooa ma mkubwa wake kichanga changuโบ๏ธ๐
Asante sana tunakupenda piaHuwa nainjoy sana conv zenu ShesRise_1 na win-one jokes za hapa na pale,kifupi mnanoga sana ,Nawapenda
Akikujibu nitag ๐คฃ๐คฃmi nakupenda pia sijajua huyo mwenzangu maana kasema mahaba yake yapo kwa mtoto wangu saivi๐ ๐ ๐ ๐
nipate lost ya mkia wa kondoo na ndizi mzuzu za kuiva tatu moyo wangu utakaa kwa amani kabisaa usisahau na juice ya nanasi moilove,๐Ma makubwa sina baya
Upikiwe nini mzazi๐๐ค
Mama kachanga ๐
Kutoka Goba/Instambul ๐คฃ๐คฃAsante sana tunakupenda pia
Ewe mturuki wa kuchemsha