Nimepokea taarifa kamanda Seran ,shukrani kwa uwajibikaji wako,mguu sawa endelea na majukumuHapana kila kitu Kiko shwari, stoners wote wako vyedi hakuna anayevuka mipaka!
Safi sana kamanda, nimepokea taarifa,mguu sawa endelea na majukumuNipo salama kabisa najiandaa na lindo
Sawa kamanda nimepokea taarifa,hapana shaka tupo salama kabisa ndani ya nguvu 5/55/5 Utulivu wa kutosha...Ratiba zinaendelea
Kamanda win yupo mipakani huko operation maalum, mida hii ni ngumu kupatikana kwasababu za kiusalamawin-one yupo wapi haonekani sana siku hizi
Kamanda wangu mrembo leo kanuna.Kamanda mshamba_hachekwi ni wakati wako sasa wa kubebishana kabla ya 0000hrs
Pole sana,hakuna mkate mgumu mbele ya chai kamanda, chemsha chaiKamanda wangu mrembo leo kanuna.
Wewe binti mfikirishi upo singo kwa sasa?23 : 11 ✌️
Single ki vipi kijana mfikirishi?😆Wewe binti mfikirishi upo singo kwa sasa?
Yaani unalala mwenyewe kama mbao?Single ki vipi kijana mfikirishi?😆
Hapana kando yangu kuna mito miwili mikubwa na simu na charge yake pia ipo hapaYaani unalala mwenyewe kama mbao?
Lala ukue kijanaNachukua notes hapa🤣🤣