Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:34 PM #187,041 Mtu akipanda juu, si lazima nimvute chini. Naweza kumpigia makofi. š
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:35 PM #187,042 Sina wivu na mwanga wa mwingine, najua na mimi nina taa yangu
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:35 PM #187,043 Moyo mkubwa hauogopi kuona wengine wakifanikiwa.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:36 PM #187,044 Mafanikio ya mwenzangu ni ushahidi kwamba inawezekana. š„
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:37 PM #187,045 Sishindani na mafanikio ya wengine, najenga yangu.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:38 PM #187,046 Mtu mwenye amani moyoni anaweza kushangilia hata ushindi ambao si wake.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:38 PM #187,047 Wivu unaangalia mafanikio ya mwingine kama tishio; hekima inaona kama somo.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:39 PM #187,048 2239hrs
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:39 PM #187,049 Lindo check up....
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:39 PM #187,050 Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu?
Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:42 PM #187,051 dosho12 unasomaje upande wako pamoja na kitengo chako
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:42 PM #187,052 win-one vipi huko mipakani ulipo sasa hivi kuna movement zozote zenye kutia mashaka?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:43 PM #187,053 The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:44 PM #187,054 General Tresor Mandala hausomeki lindoni kuna shida yoyote?
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,207 Reaction score 29,038 Monday at 10:47 PM #187,055 ephen_ tunajua unalea now,utaendelea na majukumu muda ukifika
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,571 Reaction score 99,223 Monday at 10:53 PM #187,056 mshamba_hachekwi said: Komwe liliuma nini? Click to expand... Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!š
mshamba_hachekwi said: Komwe liliuma nini? Click to expand... Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!š
The Gworl JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 5,965 Reaction score 18,143 Monday at 10:54 PM #187,057 Ertugrul Bey said: The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake Click to expand... 5/5 Utulivu wa kutosha...Ratiba zinaendelea
Ertugrul Bey said: The Gworl kwa upande wako unasomekaji kiusalama kwa ujumla wake Click to expand... 5/5 Utulivu wa kutosha...Ratiba zinaendelea
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,571 Reaction score 99,223 Monday at 10:56 PM #187,058 Ertugrul Bey said: Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu? Click to expand... Hapana kila kitu Kiko shwari, stoners wote wako vyedi hakuna anayevuka mipaka!
Ertugrul Bey said: Seran je,kuna habar zozote mpya kwenye kitengo chako cha watumia mjani, je kuna movement zozote ambazo sio za kawaida kwenye mipaka yetu? Click to expand... Hapana kila kitu Kiko shwari, stoners wote wako vyedi hakuna anayevuka mipaka!
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 24,944 Reaction score 81,570 Monday at 10:56 PM #187,059 Seran said: Acha tu limekaa kama tochi, ni story ndefu!š Click to expand... Acha bangi.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,571 Reaction score 99,223 Monday at 10:57 PM #187,060 mshamba_hachekwi said: Acha bangi. Click to expand... Soon.