mimi na wenzangu tulokua nao kwenye birthday party tuliienjoy, keki zilikua za kutosha mixture minyama choma plus bites weuwh sikutamani siku iishe😜Usiweke wingi kwamba tulionjoy,sema niliinjoy sana,unaweka wingi ili ujitetee kwamba haikuwa zaidi ya party
una nisingizia😪Hapana mwenetu,hapo kulikuwa na kubadiilishana energy halafu kibaya zaidi hata husemi sasa
hahahaha chezea birthday girl wewe,Ajibu taratibu judge ninaandika, hili swali sio la hapa na pale..😂😂
Hold on.. unatutengenezea maswali mengi meng hom g🤗!!kesho naanza likizo naenda zangu nyumban nikapumzike, hapa nawaza tu kula chakula kizuriiii tena bure woiii💃💃 natamani kukuche haraka
uliza homeG nitakujibu yooote😘😊Hold on.. unatutengenezea maswali mengi meng hom g🤗!!
Hapo unakula chakula cha gharama halafu kibaya? 🤔uliza homeG nitakujibu yooote😘😊
sio gharama na huwa nakula kushiba/kujaza tumbo 😪 sio health foodHapo unakula chakula cha gharama halafu kibaya? 🤔
Oooky... Unaondoka na johav....?sio gharama na huwa nakula kushiba/kujaza tumbo 😪 sio health food
kuna kitu kipya kinaitwa "God 1st" kinaishia mji wa miamba,, nazunguka siku kadhaa alf ndo naenda mjini R 😊😊Oooky... Unaondoka na johav....?
Kwetu Nchini Mara
Kujizungusha tu... 🤣🤣🤣 Dom inapita sa ngapi nikupitishie zabibu🤗kuna kitu kipya kinaitwa "God 1st" kinaishia mji wa miamba,, nazunguka siku kadhaa alf ndo naenda R 😊😊
yaan acha tu lazima niweke vituo maana ni muda kweli😅😅😅,,,, natoka na gar ya mchana, nikianza safari nitakwambia🥰Kujizungusha tu... 🤣🤣🤣 Dom inapita sa ngapi nikupitishie zabibu🤗
Unasafir na hatuambiani,sijapenda kwakweliyaan acha tu lazima niweke vituo maana ni muda kweli😅😅😅,,,, natoka na gar ya mchana, nikianza safari nitakwambia🥰