Mji ni tambalale sana huo na miundombinu nayo ni ya hovyo so ikinyesha mvua ya maana ni hatari sanaNilikuwa nadiscuss na jamaa yangu mmoja juu ya kadhia ambayo tutaipata,kama sisi wa daslamu,huu mji ni mzur kwa jua tu,lkn kwa mvua wallah utauchukia
Sahihi kabisa,nawaonea huruma sana wakazi wa .mabondene,muda wa kulala na viatu sasa umewadiaMji ni tambalale sana huo na miundombinu nayo ni ya hovyo so ikinyesha mvua ya maana ni hatari sana
πππ kashesheNina ujumbe wako! Pm yangu imejaa machozi
Si walitolewaga au walirudi? Wale waliokaribu na mto msimbazi na wale wa mto ng'ombe lakini pia kuna wale wa kinondoni shamba.... Temeke sijui wao wako na mto gani maarufuπSahihi kabisa,nawaonea huruma sana wakazi wa .mabondene,muda wa kulala na viatu sasa umewadia
Yeah wale wa jangwani,mto msimbazi kwa asilimia kubwa walitolewa lakini,bado maeneo mengi yapo mabondeni,kama pale kigogo sambusa maeneo ya karibu ikija mvua na ule mto.msimbazi upo karibu pale ni majangaSi walitolewaga au walirudi? Wale waliokaribu na mto msimbazi na wale wa mto ng'ombe lakini pia kuna wale wa kinondoni shamba.... Temeke sijui wao wako na mto gani maarufuπ
Yeah maeneo mengi Dar mtihani, kariakoo yote ile inajaa majiππ... Upanga, masaki, ostabee kidogo kuna maeneo yako vizuri...Yeah wale wa jangwani,mto msimbazi kwa asilimia kubwa walitolewa lakini,bado maeneo mengi yapo mabondeni,kama pale kigogo sambusa maeneo ya karibu ikija mvua na ule mto.msimbazi upo karibu pale ni majanga
Sehemu nyingi dar ni mtihani tu kwakeli
Ulijuaje mkuu,βGoba kuna advantage moja kwasababu kuna miinuko miinuko kwahiyo hata sunami kutufikia huku labda.apende Mungu mwenyeweYeah maeneo mengi Dar mtihani, kariakoo yote ile inajaa majiππ... Upanga, masaki, ostabee kidogo kuna maeneo yako vizuri...
Yaani Dar ikisema itokee kitu kama ile ya Nepal hamna kwakukimbilia, labda goba πππ
Hata kinzudi nayo angalau unaweza kukimbiliaπ π π , mbezi makabe ile nayo sio mbaya.Ulijuaje mkuu,βGoba kuna advantage moja kwasababu kuna miinuko miinuko kwahiyo hata sunami kutufikia huku labda.apende Mungu mwenyewe
posta nayo mvua kidogo watu wanatafutana,yani ni kero tu mkuu
Achana nae, mwambie ameshaelewa kama hajuiπeeh kazi ya kutumia akili plus nguvu kumuelezea mtu kuhusu kitu ni ngumu wajameni am tired ooohπ’π’
saivi hawapo ndo napumua ila kuna wengine nilikua naitikia majibu yao tuππ maana ya kwangu wameyakataaAchana nae, mwambie ameshaelewa kama hajuiπ
Sahihi kabisa hizo sehemu miundo.mbinu ndio ishu kubwa kwakweli,kuna haja ya kuanza kununua mitumbwi mapema kabla haijapanda beiHata kinzudi nayo angalau unaweza kukimbiliaπ π π , mbezi makabe ile nayo sio mbaya.
Posta, kariakoo, upanga yote ni kwasababu ya miundombinu, maji hayana sehemu za kupita.
Wakikataa ndio vizuri wewe kazi yako inabaki kusema anhaa kumbe, sawa sawa, hapo sasa nimekuelewa vizuriπππsaivi hawapo ndo napumua ila kuna wengine nilikua naitikia majibu yao tuππ maana ya kwangu wameyakataa
Hatari yani... Tope ndio usiseme sasaπππSahihi kabisa hizo sehemu miundo.mbinu ndio ishu kubwa kwakweli,kuna haja ya kuanza kununua mitumbwi mapema kabla haijapanda bei
Nini shida cha fujosaivi hawapo ndo napumua ila kuna wengine nilikua naitikia majibu yao tuππ maana ya kwangu wameyakataa
Itabidi tutafute gum buti mapema tu aiseeHatari yani... Tope ndio usiseme sasaπππ