ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,963
- 50,577
Una search nyuzi za enjoyment 😉walah vile mi huwa nadeal na trending kila siku nakwambia,,, nyuzi ninazo zisearch ni 3, huu wa usiku wa manane, selfika na ule wa msitari wa wimbo
ewaaaaa hebu nitambulishe diaaaUna search nyuzi za enjoyment 😉
Nataka nikutambulishe shemeji yako😅
OMG 😲 I can't believe baby girl 😍ewaaaaa hebu nitambulishe diaaa
si ndio nyuzi ninazo zipenda humu😅😅😅😅
jiandae kuitwa sijui ma mkubwa sijui aunt yani ni wew tu utachagua uitwe nani 💃💃
huyu 😅😅😅 nikufanye nini ili uniamini?OMG 😲 I can't believe baby girl 😍
Bana siamini 🥹🥹🥹
Hongera! Bora uongeze idadi ya watoto majirani tuwatume dukaniewaaaaa hebu nitambulishe diaaa
si ndio nyuzi ninazo zipenda humu😅😅😅😅
jiandae kuitwa sijui ma mkubwa sijui aunt yani ni wew tu utachagua uitwe nani 💃💃
asanteee jamni, ila msiwe mnamchapa tu 😊Hongera! Bora uongeze idadi ya watoto majirani tuwatume dukani
Uncle Dosho nipo hapaewaaaaa hebu nitambulishe diaaa
si ndio nyuzi ninazo zipenda humu😅😅😅😅
jiandae kuitwa sijui ma mkubwa sijui aunt yani ni wew tu utachagua uitwe nani 💃💃
sawa uncle nimefurahi😻Uncle Dosho nipo hapa
Kama ni wa kiume na hujampa jina bado muite dosho 😁😎sawa uncle nimefurahi😻
nasoma maoni,ewaaaaa hebu nitambulishe diaaa
si ndio nyuzi ninazo zipenda humu😅😅😅😅
jiandae kuitwa sijui ma mkubwa sijui aunt yani ni wew tu utachagua uitwe nani 💃💃
bado hajazaliwa yupo tumboni😅😅 akizaliwa lazima nimuite dosho☺️Kama ni wa kiume na hujampa jina bado muite dosho 😁😎
sawa sawabado hajazaliwa yupo tumboni😅😅 akizaliwa lazima nimuite dosho☺️
sema jambo lolote kwa mwanangu ajae😊nasoma maoni,
Usalama upo mkuu🤣🤣sawa sawa
tumsubiri aje kwanzasema jambo lolote kwa mwanangu ajae😊
vzr kama usalama upoUsalama upo mkuu🤣🤣
Mi nakuuliza wewe hapovzr kama usalama upo
hapa nilipo ni full securityMi nakuuliza wewe hapo
Safiii brohapa nilipo ni full security