alewe kwa raha zake alf mie nihangaike kumpa kanga, never ever kaamua kijidharirisha acha anywee kikombe chake ππBasi mpe kanga baby π
Sijatamani urojo! Nataka samaki mkubwa nile peke yanguuSasa kwanini useme ukweli hivi π’
Agiza urojo ππ€£
hata mgeni akija hauwezi kumpa kichwa aonje?πKesho nitanunua kibua nusu, nakula mwenyewe hakiombeki
uchoyo tuπSijatamani urojo! Nataka samaki mkubwa nile peke yanguu
Maskini ana anika fimbo njee njee π€£alewe kwa raha zake alf mie nihangaike kumpa kanga, never ever kaamua kijidharirisha acha anywee kikombe chake ππ
Yaani! Sitaki kuombwa nakula mwenyewe.hata mgeni akija hauwezi kumpa kichwa aonje?π
Ule peke yako π€£π€£Sijatamani urojo! Nataka samaki mkubwa nile peke yanguu
Nakula siangalii pembeni! Mqcho nakazia kwenye Tv.uchoyo tuπ
WapiUle peke yako π€£π€£
Nimekumbuka mbali aiseeπ’
Kuna kipindi fulani πWapi
Unataka nikubembeleze tena! Kuanza kuuliza kipindi ganiKuna kipindi fulani π
Yooo π₯Ή napenda kubembelezwaUnataka nikubembeleze tena! Kuanza kuuliza kipindi gani
Kujiongeza nimeshindwa! Njaa inavyoniuma hata sikubembeleziYooo π₯Ή napenda kubembelezwa
Nibembeleze π₯Ή au ujiongeze π€£π€£
kwanini hauniamin jamniπ’πͺIvi unajua wewe hata uongee nini sikuaminiπ€£π€£
Nimekuta una comment huko siasani siamini kama upo serious nachekaaπ€£π€£π
Usiwe mkaliKujiongeza nimeshindwa! Njaa inavyoniuma hata sikubembelezi
We mtoto kweli hujui kama ni jukwaa la siasa lile πkwanini hauniamin jamniπ’πͺ
hivi kumbe lile ni jukwaa la siasa?, oya mi nimeona uzi upo trending nikaruka nao
Aya ninong'onezeUsiwe mkali
Mimi siuzi samaki π€£
Sawa maa subiri kiduchuπAya ninong'oneze
eishiiiiii nikitoka hapo siangalii nyumaπNakula siangalii pembeni! Mqcho nakazia kwenye Tv.
Sicheki na mtu kesho hiyoo
walah vile mi huwa nadeal na trending kila siku nakwambia,,, nyuzi ninazo zisearch ni 3, huu wa usiku wa manane, selfika na ule wa msitari wa wimboWe mtoto kweli hujui kama ni jukwaa la siasa lile π
Hata sijui kwanini sikuamini π