win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,032
- 30,788
churu ni nini😅😅😅😅Hiyo boobs si churuu
churu ni nini😅😅😅😅Hiyo boobs si churuu
sawa hata view once fresh tu☺️Haitadumu sekunde 20
🤣🤣🤣ninong'oneze saivi mi kifua cha kusubiri mpka badae sina kwa kweli
kwahiyo nikusubiri utue kwanza au🥴
Nipo nyuma ya muda Ije kabisa,hakuna muda wa kupotezakwahiyo nikusubiri utue kwanza au🥴
kipindi cha baridi watu hawali matikiti hivyo kupelekea kutupa vipande vyote nilivyokata kwa ajili yao, na mda mwingine matikiti mazima huharibikaNipo nyuma ya muda Ije kabisa,hakuna muda wa kupoteza
Hivi ipi ni changamoto kubwa ya biashara ya matikiti
Uza uji unalipa sanakipindi cha baridi watu hawali matikiti hivyo kupelekea kutupa vipande vyote nilivyokata kwa ajili yao, na mda mwingine matikiti mazima huharibika
yeah ni kweli bro,, nakubaliOkay wangu,sawa kila kitu kinachangamoto kikubwa ni kuendelea kupambana
Hakuna kufeli
unadhani ni rahisi?,, kuosha ulezi na kuandaa viungo ni kazi sana,, bado uanze kutembeza plus kukusanya vikombe mmmmh hapanaUza uji unalipa sana
Alafu sharti muuza uji avae suruali ndy anapata wateja 😀unadhani ni rahisi?,, kuosha ulezi na kuandaa viungo ni kazi sana,, bado uanze kutembeza plus kukusanya vikombe mmmmh hapana