JamiiForums Usiku wa manane

Aah nimechambuliwa vya kutosha! Kanirahisishia sana💃🏽
 
Mkuu hapa ni namna unavyointerract na watu ndio mnakuwa na vibe,baada ya muda mnakuwa kwenye same frequency

Hakuna cha ajabu hapa welcome to the club
Mkuu huu uzi kwenye comment 100 za mwanzo nipo, unfortunately si muongeaji sana ila haipiti siku sijaingia humu ...
Ila asante kwa mada zako kwenye uzi huu , najifunza mengi mno.
 
Mkuu huu uzi kwenye comment 100 za mwanzo nipo, unfortunately si muongeaji sana ila haipiti siku sijaingia humu ...
Ila asante kwa mada zako kwenye uzi huu , najifunza mengi mno.
Asante sana mkuu,kwa your appreciation inanipa nguvu zaidi kujua kwamba ninachofanya kina impact kwa watu

Nakuelewa kama kiasili sio muongeaji ni kweli inakuwa ngumu sana kuintertact na watu humu,maana uchangamfu nao ni kipaji mkuu

Speaking of pongezi kwangu nazipokea kwa heshima kubwa sana

Na nichukue nafasi hii kumfahamisha win-one kuwa yeye ndio alinifanya nirudi tena hapa Usiku wa Manane,nilikuwa naandika hapo awali halafu nikapotea

Lakini siku moja sentensi yake moja ilibadilisha kila kitu alisema "Siku hizi ertugrul bey haandiki tena mastory" ilinifanya nijue kwamba okaaay kumbe nina mafans humu,here iam again like no body business

Thanks
 
kabeesa bro 4rm anaza maza☺️,

yuu gud ma men,, leo nachapa lugha ya black American tu 😅😅😅😅
 
Shukurani za dhati kwa wini .
Yote ndugu yagu6 nakusoka sana , basi tu ni ule uzito wa commet ila i'm sure una madini sana.

Na ilivyo ngumu kuandika maelezo marefu kiasi hicho ila wewe kila mara unafanya hivyo , tena hata bila reaction nyingi wewe hukati tamaa. Hongera mkuu
 

2326hrs​


Nairobi airport, Kenya​


“Ishinde nafsi yako dhidi ya uvivu. Kila unaposhinda hamu ya kuahirisha, unajenga nguvu ya kufikia malengo yako. Usisubiri motisha, anza tu.” 💪🔥​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…