Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,513
- 29,639
Hiyo ndio ile akokupiga ngumi ya jicho akikuiliza unaonaje nawe unampiga ngumi ya sikio halafu una muuliza unajisikiajeNimejifanya sijui kama anajua kama yeye alivyojifanya hajui ππ
Anakujali anataka upendeze uwe na wigi za kila aina πanajisahau sana,, yupo tu anaswampa kwa kisingizio cha kunitafutia pesa ya wigiπ π π
Bibie ebu mpeleke kidogo kidogoWatu wengiiiii au nyomiiii
Karaghabaoo hayana muongozo π€£Shem kasema boy wake kuwa ni stupid
kunijali wapi wakati sijawahi kuletewa hata wigi la elf 10 pale kkoo, kila siku wimbo ule ule kuna issue anaisikiliziaπ₯΄Anakujali anataka upendeze uwe na wigi za kila aina π
Ewaaa akili mtu wanguHiyo ndio ile akokupiga ngumi ya jicho akikuiliza unaonaje nawe unampiga ngumi ya sikio halafu una muuliza unajisikiaje
OkayBibie ebu mpeleke kidogo kidogo
π€£π€£ hapo kweli umepatikanakunijali wapi wakati sijawahi kuletewa hata wigi la elf 10 pale kkoo, kila siku wimbo ule ule kuna issue anaisikiliziaπ₯΄
Mvumilie mwamba ipo siku atatoboa utaenda shopping paris πkunijali wapi wakati sijawahi kuletewa hata wigi la elf 10 pale kkoo, kila siku wimbo ule ule kuna issue anaisikiliziaπ₯΄
Nashindwa kwelewaa π€£kunijali wapi wakati sijawahi kuletewa hata wigi la elf 10 pale kkoo, kila siku wimbo ule ule kuna issue anaisikiliziaπ₯΄
Hapana naenda sawa na kila mtu labda huyo mtu ndiyo asiende sawa na mimi πOkay ukimaanisha kuna watu hamuendi sawa au sio
mi piaπ πNashindwa kwelewaa π€£
Labla kwenye njoziMvumilie mwamba ipo siku atatoboa utaenda shopping paris π
akitoboa anamchukua wa level yake sio mimi tenaπ₯Mvumilie mwamba ipo siku atatoboa utaenda shopping paris π
Okay najua wewe ni msweet sana how come ugombane na watu,ila ndo hivyo si kila mtu atakupendaHapana naenda sawa na kila mtu labda huyo mtu ndiyo asiende sawa na mimi π
unanicheka mwenyew si ndio shemππ€£π€£ hapo kweli umepatikana
Apo kwa experience yangu wewe chukua 50 pita hivimi piaπ π
Nakazia π―akitoboa anamchukua wa level yake sio mimi tenaπ₯
Nashangaa na ujanja huo shem imekuwaje mtu wako anakuchachafya shemunanicheka mwenyew si ndio shemπ