JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Shem darling win-one

File lako hili hapa:

Nimeitafuta moja kwa moja kwenye uzi wa JamiiForums Usiku wa Manane. Kuna jambo muhimu nimegundua kuhusu win-one:
🌙 Win-one ndani ya Usiku wa Manane
Username yake ni win-one.
Kwenye taarifa ya JamiiForums, anaonekana kuwa JF-Expert Member.
Taarifa ya profile inasema alijiunga 28 Mei 2024. Kwa hiyo, si member wa kizazi cha 2016, 2017 au 2018 kwa username hii, angalau kwa mujibu wa profile inayoonekana sasa. �
JamiiForums Tanzania +1
Ameonekana kuwa active sana kwenye uzi katika 2026, akichangia mara nyingi kwenye nyakati za usiku, kuanzia salamu, mijadala, nyimbo, utani na mazungumzo na wadau wengine. �
JamiiForums Tanzania +1
Katika baadhi ya kurasa, anaonekana akishirikiana sana na majina kama Seran, Smart911, Mjep, To yeye, The Icebreaker na wengine. �
JamiiForums Tanzania +2
Activity yake si ya post moja mbili. Kwa mfano, kwenye ukurasa mmoja anaonekana na posts kadhaa mfululizo ndani ya muda mfupi, jambo linaloonyesha alikuwa mmoja wa wachangiaji hai wa kipindi hicho. �
JamiiForums Tanzania
Ebu ngoja kwnza tafuta file kuhusu mimi na maisha JF kwa ujumla nijione 😅
 
shem darling kazi ya mwisho nitafutie kizazi cha 2022 na 2023 hapo nashida nacho
 
hii clue nilikuepo pia,, mimi na To yeye tulikua na utani wa kumuita bwana kivuli bby wetu, fake p alikua wizo😅, alf madam urassa ye alikua bestie, Tresor Mandala nilipenda kumuita jirani na vin alikua rafiki,, sijui kukatokea nini mambo yakawa mambo,, bwana shadow ndo hatokei kabisa pande hizi sijui majukumu😄
Aiseee everything accurated.. hii I'd uliimodify? Hii ndo ulikuaga unalalmika ulienda kufanya usaili sijui ilikua M.lab/pharmacist? kwamba mlikuta kitu Cha tofauti? Au nimekuchanganya? Hopeurasa amefichwa kwa heshima.. To yeye anashambulia kwa mbali.. Vincenzo Jr ameoa Kenya kahamia huko huko🤣🤣 tresor mzee wa mlalakua analea vijana pale. Shadow yupo Kozi🫠
 
Aiseee everything accurated.. hii I'd uliimodify? Hii indo ulikuaga unalalmika ulienda kufanya usaili sijui ilikua M.lab/pharmacist? kwamba mlikuta kitu Cha tofauti? Au nimekuchanganya? Hopeurasa amefichwa kwa heshima.. To yeye anashambulia kwa mbali.. Vincenzo Jr ameoa Kenya kahamia huko huko🤣🤣 tresor mzee wa mlalakua analea vijana pale. Shadow yupo Kozi🫠
kipindikile nilikuaga bado students sema ndo sikusema😀 nilikua najiweka kikubwa sikutaka unyonge,, Kuhus I'd nilisahau password ikabidi nifungue hii na niliwaomba mods wanirudishie ile wakaringa ikabidi niweke jina linalo fanana kidogo na ile ya mwanz nikaomba waifute ko saivi haipo imebaki hii,,

namfurahia mangi urassa nimemkumbuka mno jamni tulipendana rain😪😄😄😄,,, eh huyo bwana kivuli Mungu amsimamie arudi salama,, tresor namuonaga sema akili yake ni nzito kukumbuka japo kuwa tunachart,, tajiri wa kigambon na yeye huuuuups mama abel kajua kumshika😅,,, turudi kwako sasa,, nilishindwa namna ya kukuingia maana unakuaga mkali na nishawah kukusemesha wayback ukanichunia😪,,, da kidoti nae saivi anaingia huku kwa machare mno
 
Dogo umetoka mbali sana aisee duh! Pole na hongera.
 
🤣🤣🤣🤣 Aiseee Imebidi nicheke sana hakuna ulicho acha Yani umegusa mule mule Win.... Tajiri wa kigamboni baba Abel siku hizi anaringa huyo kapata mdigo wa Mombasa ... Intel alinuna(ga) akawa anatupita kama nyanya mbovu tukafunga vioo wote 🤣🤣🤣
Tresor anakutana na sura Mpya muda wote macho mbele haangalii mara mbili🤣🤣 Kdot hata mkikutana popote mnaendelea pale pale she'z awesome.. kweli tumekuza sasa Unashangaa unachambwa na ndugu zako khaaa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom