win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,122
- 31,052
ooh pole sana sweetDah,nilivurugwa kipenzi
ooh pole sana sweetDah,nilivurugwa kipenzi
Ahsante 🙏 sana, tuko pamojaooh pole sana sweet
Ndege nani vile😃 mdinya01:01.
Mechi ya Germany na Paraguay ikiisha nakwenda kungonoka na wife.
Ni hayo tu kwa sasa!
nafurahiAhsante 🙏 sana, tuko pamoja
Ndege mdinya kwenye 1&2.Ndege nani vile😃 mdinya
Mimi pia nafurahi sananafurahi
Mtalala wote mtaniachaHahaha naona mwanzisha uzi keshalala. Me usingizi umekata sasa naona bora tu namie nikate kitu kingine
sawaaMimi pia nafurahi sana
Nakukubali,I wish.....sawaa
eh you wish?.....Nakukubali,I wish.....
Nikuone live Mrembo, nipate usingizieh you wish?.....
ilibaki kidog niseme "your wish is my command" ningeumbuka mie🙊😅😅😅Nikuone live Mrembo, nipate usingizi
Huo ukawaida ndio mie naupenda kwakoilibaki kidog niseme "your wish is my command" ningeumbuka mie🙊😅😅😅
mi sio mrembo tresor nipo kawaida mno
Yeah, uwe unajitambulisha hivyo Kwa watu wengine, la sivyo mbaba wako ningepata tabu kuku-maintain.ilibaki kidog niseme "your wish is my command" ningeumbuka mie🙊😅😅😅
mi sio mrembo tresor nipo kawaida mno
😅😅😅 tunasubiri ulale ndo tumalizie vilivyo baki
Hahahaha,tuache tuko deep
Sawa sawa😅😅😅 tunasubiri ulale ndo tumalizie vilivyo baki
thank you🤗Huo ukawaida ndio mie naupenda kwako
et tuko deep dah😅Hahahaha,tuache tuko deep