win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,090
- 30,970
kheee wat is zatAliniambia kuna kitu anataka kuniuliza nikamwambia akuulize Kwanza wewe
kheee wat is zatAliniambia kuna kitu anataka kuniuliza nikamwambia akuulize Kwanza wewe
Hata najua basikheee wat is zat
😅😅wanakuaga romantic mnooo labda kama ananyongeaga chooni😂😂😂😂
Una muamini huyu😅kheee wat is zat
kidogo😂Una muamini huyu😅
Wote wakorofi tutapigana vicwa tuuanemimi hapana kwa kweli😂😂 labda wew ndo mtawezana
😅 hayakidogo😂
Unaona balaa hiloWote wakorofi tutapigana vicwa tuuane
mfamasia wa familia nipo, nitawap dawa na kuwashona majeraha madogo madogo😂😂👌Wote wakorofi tutapigana vicwa tuuane
Chagua mwenyewe bhna nikusaidie siku umpasue nianze usuruhishi😅Basi nichagulie yoyote ili niende nae Sawa lakini lugha ya mtaa ailewe kidogo mana Mimi nimekuzwa na mtaa
Hakuna iyooomfamasia wa familia nipo, nitawap dawa na kuwashona majeraha madogo madogo😂😂👌
nitakua na nyie mpka mpunguzane viungo vya mwili😂😂😂Hakuna iyooo
Sasa wewe sindio njiwa wangu nakutuma unichagulieChagua mwenyewe bhna nikusaidie siku umpasue nianze usuruhishi😅
Daah staki kesinitakua na nyie mpka mpunguzane viungo vya mwili😂😂😂
Kaangalie tayalinitakua na nyie mpka mpunguzane viungo vya mwili😂😂😂
SitakiiiiSasa wewe sindio njiwa wangu nakutuma unichagulie
Okay Wacha niendelee Kula kitu na tungiSitakiiii
Hizi sasa ndio akili zako🔥🔥Okay Wacha niendelee Kula kitu na tungiView attachment 3608009