mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Kioo kinapasuka. Kila nikimpakata mtoto lazima alie.Achana nao
Lakini vipi wewe ukijiangalia kwa kioo?
Kioo kinapasuka. Kila nikimpakata mtoto lazima alie.Achana nao
Lakini vipi wewe ukijiangalia kwa kioo?
Lol 😆 sasa itakuajeKioo kinapasuka. Kila nikimpakata mtoto lazima alie.
Ndo nimekuletea suala langu mkuu unisaidie...Lol 😆 sasa itakuaje
Sasa nakusaidiaje dah😢Ndo nimekuletea suala langu mkuu unisaidie...
Nifanyie wepesi mkuu. Nifungulie moyo wako.Sasa nakusaidiaje dah😢
Sina moyo aisee pole sanaNifanyie wepesi mkuu. Nifungulie moyo wako.
Uwiii kwa mtindo huu nitakufa bachelor.Sina moyo aisee pole sana
Nina kipande cha nyama kwa ajili ya kusukuma damu
Kua mvumilivu utapataUwiii kwa mtindo huu nitakufa bachelor.
Wewe ndo Adv. wa kwanza namuona anakuwa high bila wasiwasi.00:18
high asf![]()