fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,582
- 9,085
1.36 Nipo macho nasikiliza mziki kutoka wasafi fm na dj kidogodogo,pia na black coffee na chocolate biscuits
😃Amka songa ugali mkuu tumbo halijui kama saiv ni Alfajir😃😃am hungry 🫢
Lina matatizo sana ndio limeona huu muda sahihi kabisa kudai chake😤😃Amka songa ugali mkuu tumbo halijui kama saiv ni Alfajir😃😃
Usiku mrefu libless hilo tumbo hata na bites au kahawaLina matatizo sana ndio limeona huu muda sahihi kabisa kudai chake😤
Yani siwezi, ntajikaza kukuche😂Usiku mrefu libless hilo tumbo hata na bites au kahawa
Heshima yako shangaziYani siwezi, ntajikaza kukuche😂
Tumbo linatabia ya kuzoea ukililea tu kila saa 10 unaamka kulilisha!
😃😃😃Mazoea yana tabuYani siwezi, ntajikaza kukuche😂
Tumbo linatabia ya kuzoea ukililea tu kila saa 10 unaamka kulilisha!
Wacha nisubiri kukuche aisee😅😃😃😃Mazoea yana tabu
Me mzimaMzima mdogoangu?
Leo mapema sana kwema?
Mimi pia duhh sijui shida nini leo!Me mzima
leo usingizi umekata mapema hata sielewi
U-bachelor nao kazi kweli kweli wakati wa Morning glory huu😁Mimi pia duhh sijui shida nini leo!
Hmm vijana wadogo na nyie siku hizi mnajua morning glory? Aiseeew🫢U-bachelor nao kazi kweli kweli wakati wa Morning glory huu😁
😁😁😁 Kwanin tusijueHmm vijana wadogo na nyie siku hizi mnajua morning glory? Aiseeew🫢
Aisee! Mimi najua tu ile ya maombi ya asubuhi, hii ya kwenu si mchezo!😁😁😁 Kwanin tusijue
Unataka maanisha nawe Bachelor?Aisee! Mimi najua tu ile ya maombi ya asubuhi, hii ya kwenu si mchezo!
Mi msimbe😁Unataka maanisha nawe Bachelor?