Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,906
- 82,171
00:57 save your tears
We uliamini ya jana., nilikuwa nachangamsha hadhara.GenuineMan we si ulisema ni mkubwa? mbona ka kijana kadogo kabisa unataka kuwanyima watu nini🤭😅😅,,, nimefurahi kukuona aseee 🥰
Na miguno ya kuchombeza sio 😂😂🤠🤠haswaaaa kufumba fumba macho na kuangalia pembeni kidogo😜🤣
ndio niliamini maana sikuwa nimekuona sooo nilihisi unasema kweli kumbe looooh bado dam inachemka 😅We uliamini ya jana., nilikuwa nachangamsha hadhara.
Ila si mdogo kama unavyofikiri
mule mule aloooo,,, sema unanichekesha kama vile haujui saivi ni usiku eb😅😅😅Na miguno ya kuchombeza sio 😂😂🤠🤠
Usinambie unateseka 😂😂😂😂mule mule aloooo,,, sema unanichekesha kama vile haujui saivi ni usiku eb😅😅😅
ndio nacheka kwa kuibia nisipige kelele🤣🤣Usinambie unateseka 😂😂😂😂
Eti damu inachemka, 😃mule mule aloooo,,, sema unanichekesha kama vile haujui saivi ni usiku eb😅😅😅
asante mkuu na kwako piaEti damu inachemka, 😃
Ngoja nilale.
uwe na usiku mwema
Aah na hii baridi ningekuwa nawendio nacheka kwa kuibia nisipige kelele🤣🤣
Asante mrembo wa selfkaasante mkuu na kwako pia
aweeeee mambo hayoo😊👌 kwahiy hakuna kusinzia usiku mzima?🤭Aah na hii baridi ningekuwa nawe
Ningekukumbatia huku nikikuimba nyimbo nzuri za mapenzi all night,
Tungewatch movieaweeeee mambo hayoo😊👌 kwahiy hakuna kusinzia usiku mzima?🤭
ooooh nimestukaaaa,,, haya naomba nipumzike nahisi kuchokaWImbo huo 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Rapcha ft frida amani
Melody
Hahaha kabla hujalala kwanini ushituke. 😂ooooh nimestukaaaa,,, haya naomba nipumzike nahisi kuchoka
mistari ya wimbo ilinistua mnoo nikajua unamanisha🤭Hahaha kabla hujalala kwanini ushituke. 😂
Vipi ikiwa nmemaanisha 🔥🔥mistari ya wimbo ilinistua mnoo nikajua unamanisha🤭