MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,453
02:14
mpka mda huu bado kinauma asee,, japo saivi maumivu nayahisi kwa mbali mnoMpaka sasa bado kinauma
hizo sasampa mnachota wapi na mimi nikachote?Dawa ni sasampa ukiwa nazo ndani tatizo kwisha
Au tafuta kakijana kanakojua kuliwaza kawe kanakufanyia massage utakuja kunishukulu
mpenz unajua kama nilizima😓? nikasahau kufunga na mlango akiii🤦♀️, ndo nimeshtka saivi kuweka mambo sawa alf nirudi kulalaNjoo nikusinge kicwa babe wangu🥹
Pole😢mpenz unajua kama nilizima😓? nikasahau kufunga na mlango akiii🤦♀️, ndo nimeshtka saivi kuweka mambo sawa alf nirudi kulala
ndo amerudi saiv anasema mvua kulikua na mafuriko kwenye banda la mpira ameshindwa kutoka cha ajabu kajaa love bite anasema aling'atwa wadudu😪🤦♀️Nasikiliza tu ngoma za pato,rude,mr fleva,tiwa,yemi na sarkodie! Usingizi hauji!!
Sijui nikakeshe kwa huyu bidada? Eti win-one mjuba amerudi??
0128
Bey wa kuchovya🤣2326hrs