JamiiForums Usiku wa manane

huu ugonjwa wa masikio unatesa, unawashwa na kuhisi maumivu at the same time, unashindwa ujipikiche na pamba au uache

0040+
 
hapo kwenye utani ushaumiza nafsi ya mtu
Dah nisamehewe mimi dada πŸ™Œ japo sijaona kosa kumfaninsha na huyo mtu labda kwasababu tuna sababu tofauti kulingana na muhusika ila mengi sivyo yalivyo ndugu ,mitandao inaongea mengi yaliyo tofauti na uhalisia

But I'm sorry nimeelewa
 
usijali daktari tuko pamoja 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…