mmesubiri niingie bafuni ndo muanze kutuma sms uchoyo tu mxiuuuuu😔
Good luck, deal zijipe vyema.Dah,
Thanks for theupdate. Nitafuatilia. Nasoma kitabu cha Dr. mmoja hapa kuna interview napanga kumfanyia kuhusu kazi zake.
Pole nyonyo💃🏽mmesubiri niingie bafuni ndo muanze kutuma sms uchoyo tu mxiuuuuu😔
kwahiyo mlirudi saa 10 asubuhi? alf ile saa 3 mnaniambia nimechelewa,, amakweli nyie vijana ni wabaya04:41
Nilale sasa🥱
Tulirudi kutoka kwenye maombi mama relax🥴kwahiyo mlirudi saa 10 asubuhi? alf ile saa 3 mnaniambia nimechelewa,, amakweli nyie vijana ni wabaya
hata kama hamkupaswa kufanya vileTulirudi kutoka kwenye maombi mama relax🥴
kwanza leo ni women day sema jambo udugu
nitumie location pihemu ipo wazi🤗
Location si hiyo hapo juu click🤗nitumie location pihemu ipo wazi🤗