nipo macho nashangilia ushindi wa yanga,nakunywa kahawa na tendeNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
01:0601:00
๐๐ daaa
Tusiingie job kwa amani๐๐๐ daaa
Huyo ndo Grim Reaper nn ? ๐Tusiingie job kwa amani๐