Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
Nimeona hiyo MPENDWA moyo umesawijika kabisa, nakuamini kuliko hata kucha zangu my lovely student[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mbona siaminiki kiasi hiki? Hata wewe mwl.wangu mpendwa katika masomo huniamini?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]Dadeki, yani mwanafunzi unanijibu mimi hivyo, nakuhakikishia bakora kwangu ni lazima, either you like it or not[emoji36]
Takwimu bila Data ni UzushiNa hii je, Yan hata kesex kwao wameshazoea goli moja anaenda kuangalia TV alafu anaenda La pili anarudi tena kuangalia TV...
What? Kumbe ndio maana mnapenda kuombewa tu ila kutubu hamtaki....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku ukiwa mwema kwangu, shetani anaweza KUTUBU tena kwa magoti kabisa[emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Au nizianike sms ulizoniambilia? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
le[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa lazima niwe mdogo kama piriton.
Haya twende kazi
N
Hapa kama umezoea kulala kama kuku, haoakufai mkuu , kama vipi kanywe na energy uchangamke hadi liambaMkuu sikuwahi kupitia huu uzi mi ni mkeshaji
Ziache hapo mezaniWakuu nani nimuachie funguo..
Hulali[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Mwachie Nleterewa NganengoWakuu nani nimuachie funguo..
Haina haja ya eneryg mkuu mimi kama mlinzi vile nilie jiajiriHapa kama umezoea kulala kama kuku, haoakufai mkuu , kama vipi kanywe na energy uchangamke hadi liamba
Majukumu ya serekali hayo mkuuTakwimu bila Data ni Uzushi
Baki nayoWakuu nani nimuachie funguo..
Tatizo lako umekariri kila Mangi ni wa Kishumundu, Kilimanjaro ni kubwa ujue, itakua ile ramani niliyokupa ushafungia kalimati sio bure[emoji12]Ohooo unataka kutufungia ndani? We Mangi kweli mtata....[emoji23] [emoji23] [emoji4]
za kishumundu asee
Halafu mkulu kakataza kutoa data uchwara namna hiiTakwimu bila Data ni Uzushi
Kwani sisi hapa tumezurura? Si tumekaa zetu kijiweni tu?Tunaweka time limit ya kuzurura aisee,kishumundu poa sana
Poa, nitarudi mida ngoja nikahakikishe mikeka.Ziache hapo mezani