KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,306
- 5,767
Dunia ya ajabu sana hii daah!
Hapa hanoi-vietnam ni saa 4:45am, tunaelekea kuamka tupambane na mambo ya chai pamoja na natural african breakfast
Dunia ya ajabu sana hii daah!
0058 hebu kalale ukue00:55 wavy since morning
nah, namalizia siku00
0058 hebu kalale ukue
Vip binti wa zamani 😊
Watu tunawahi na kazi za watu wewe. dk 10 zinatosha kabisa, Kitaalam. Halafu mtu wa nchini wa mchongo ww. Rara niku rariee umukari wa hene.Dakika ni 10 tu kiujumla? 🤣🤣🤣🤣 Mtu lazima aende Brigade kunyongwa Certified Hater
Huna baya taajiji, Kazi za watu na za kwako watakusaidia 🤣🤣🤣🤸Watu tunawahi na kazi za watu wewe. dk 10 zinatosha kabisa, Kitaalam. Halafu mtu wa nchini wa mchongo ww. Rara niku rariee umukari wa hene.
Wanisaidie tu. Mambo mengine ni Kuamua kuachana nayo tu🫂Huna baya taajiji, Kazi za watu na za kwako watakusaidia 🤣🤣🤣🤸