JamiiForums Usiku wa manane

Mazagazaga

Jambo pekee kuhusu simba ni kwamba ni paka mkubwa wa pekee anayehishi kwa makundi (familia).

🦁 Kwa kifupi:
Simba huishi katika kundi lijulikanalo kama "pride", ambalo linaweza kuwa na hadi simba 30 — likiwa na majike, watoto, na dume mmoja au mawili waliotawala.

Hii ni tofauti na paka wakubwa wengine kama chui au chui milia wanaopenda kuishi peke yao.
 
Nikikwambia utamu utakwisha,,Mwenyekiti wangu endelea kuvisoma hapa hapa,ipo siku utakuja kufahamu
Hahaha, kweli acha niendelee kusoma tuu 😅💯💯
Niamke nikatafute kazi wakuu,
😅😅😅
Somo zuri sana Mkuu 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…