JamiiForums Usiku wa manane

Sijawahi sumbuliwa na mapenzi, napenda pesa kuliko chochote. Nikiwa na pesa tu basi hata genye sisikii. Niko napendwa mpaka napendwa tena yaani ile deep uwiii sijui nikuhadithie? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hajakujua vizuri uyo πŸ˜‚πŸ˜‚ukute anataka udalalia moyo wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hajakujua vizuri uyo πŸ˜‚πŸ˜‚ukute anataka udalalia moyo wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hebu mwambie kwanza mdogo wangu. Naona ni mgeni humu huyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hanijui kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…