Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Wee sijamtaja mtu, halafu kwanini huwa unachongea watu? Nyuzi zote uko hivi π π π π nakukimbia.Monetary doctor bibie Bantu Lady anskupa tuhumaπ
Herufi ya mwisho kesho nitakutajia.Nyoo sasa ikawaje ubadili? Mmh!!! P??? Na herufi ya mwisho?
Rafiki yangu yule hana shida. Sisi ni watu wa matani tuko hapa kuondosha stress πWee sijamtaja mtu, halafu kwanini hiwa unachongea watu? Nyuzi zote uko hivi π π π π nakukimbia.
Kwani naye kabadili ID? Mnajuana nyinyi. Au fekero lako? πππMonetary doctor bibie Bantu Lady anskupa tuhumaπ
Sisi tunajuana kabisa, ni classmatesKwani naye kabadili ID? Mnajuana nyinyi. Au fekero lako? πππ
02:07
Anajua mwenyewe alipo leoπππIntelligent businessman mbona umekimbia mapema? Weekend leo unalala, aah amka bwana.
KaribuNipo
Nimejaribu kuizoom ili ni screenshot hiyo avatar yako lakini nimeshindwa.Pamoja π₯°π₯°π₯°
02:12
Hapa nipo na macho tuKaribu
Huu ndio Muda WA kufungua kanisa sasaNimejaribu kuizoom ili ni screenshot hiyo avatar yako lakini nimeshindwa.
Nimesikatika sana.
Vingine umeuza auπHapa nipo na macho tu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ pole sana, ya nini sasa jamani πNimejaribu kuizoom ili ni screenshot hiyo avatar yako lakini nimeshindwa.
Nimesikatika sana.