😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅kipind niko mdogo nilikuwa najua maiki inaitwa fursa kwa kiswahili maana kila mtu akitaka kuongea anasema napenda kuchukua fursa hii😅😅😅
Mda Bado wa Uzi kufunguliwaaKwamba uzi umetelekezwa
Fake P
Etugrul Bey
Hope urassa
Curtiz
mbotoro kivoi
Bantu Lady
mchanausiku
Kama hamji basi niwatakie mchana mwema
Tutakuta mida yetu ile usikosee...Nimemwambia kwa njia ndefu aje na I'd yake ile nyingine kwanza
Tunasogea armory.Tutakuta mida yetu ile usikosee...
Zilipita siku mbili hampoMda Bado wa Uzi kufunguliwaa
Sina mimi 💯Nimemwambia kwa njia ndefu aje na I'd yake ile nyingine kwanza
HereUzi umedoda where are you people
Tupo hapa tunalewa tuanze kulilia mapenzi 😪Uzi umedoda where are you people
Pata yako kabisa.Nipo Namalizia Threads Ambazo sikusoma, Hivyo Leo Nagawa Likes za Usikuusiku 😅