JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Screenshot_20241017-043421.png
 
Bro matajiri huwa hatulali, utajiri na usingizi ni vitu viwili tofauti.....bora yenu nyie masikini mnapata usingizi tena wa fofofo 😹
Bro nyie wenye utajiri wa majini kweli hamlali maana mpaka usiku mtembelee makaburi na kufikia madawa njia panda,mtalala saa ngapi?

Wenye utajiri wetu halali wala hatuna hizo mambo tunalala kwa raha zetu
 
Back
Top Bottom