Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Yaaani nasinzia mpk nataka kuanguka🤣🤣🤣🤣😘😘😘
Yaaani nasinzia mpk nataka kuanguka🤣🤣🤣🤣😘😘😘
Lkn si kitandani 😂Yaaani nasinzia mpk nataka kuanguka
Eeeh nakusubiri APA 👀🚶⏰Lkn si kitandani 😂
dada0028 Maingate
Ibumex wewe ni pharmacist?dada
sawaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hakuna kulala ndio kwanza kumekucha0436
Namalizia nyie mlale sasa