JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Screenshot_20240825-033645.png
 
Aaagh usingizi umekata najitahid nifumbe macho labda nitalala… aah wap kichwa inazid waza mambo n meng
 
hivi kama nikisema nikomae nisilale.. na kipindi hicho wachawi wamenipangia mpango wa kunilimisha si nitakuwa nmewapunguzia nguvu kazi….. Ngoja nione watatumia mbinu gani kunipata #leosilali 😂😂😂
 
Back
Top Bottom