Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Bila kumsahau Confession
Daktari amekataza supu. 🤣
😂Daktari amekataza supu. 🤣
Asante mkuu na Mimi ndo napata apa white supu
😂Fanya mazoezi acha uzembe... Soup 🍲 zitakuwa zako again...Daktari amekataza supu. 🤣
Siyo kweli supu aijakatazwaDaktari amekataza supu. 🤣
,🤣🤣Uzembe? 😏😏 nitakukimbiza. Unaijua ile Shape of you ya Ed Sheeran. Am on top form.🤼😂Fanya mazoezi acha uzembe... Soup 🍲 zitakuwa zako again...
Daktari wangu Mimi 😥Siyo kweli supu aijakatazwa
,🤣🤣Uzembe? 😏😏 nitakukimbiza. Unaijua ile Shape of you ya Ed Sheeran. Am on top form.🤼
Unamuuliza nani😏😏😏😏Mwanajeshi hawezi kuwa mzembe etii?
Wewe komandoUnamuuliza nani😏😏😏😏
😏😏😏😏😏Wewe komando
Asante hahaaJana umeaga mapema sana... Sasa soup 🍲 iko tayari lakini kwenye bajeti haupo😂
Umepigwa stroke mdomo umepinda 😪😏😏😏😏😏
🤣🤣 Nimeshindwa kujibuUmepigwa stroke mdomo umepinda 😪
Wazee wa nightNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!