Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Usingizi umegoma dah!
Hee oya kk nimeota minjoz ya ajabu mkuu ni noma mpka naogopa kulala tena aiseeHutaki nipate dhambi na Mimi mkuu?
Ndo kilichokuamsha🤣🤭🤭mbona mapema sanaHee oya kk nimeota minjoz ya ajabu mkuu ni noma mpka naogopa kulala tena aisee
Here am 0356
Ahaa kumbe wadhaminiSamaleko tajiri.
Hope urassa unapitaje kimya kimya humu bila kusalimia wadhamini🤣🤣🤣
Tunaoenda ibadani tunaenda kujiandaa sasa mbakie nyie kina nanilii sasa0400
Angalia mkubwa napokanyaga upitemo. 🤣🤣Ahaa kumbe wadhamini
Najuaje mimi hayo?
0401+