Chaka gani kakaYoooh [emoji481][emoji481]
Mkuu ukifanikiwa wawili nishtue aise, siku nzito hii.Najaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi
Sema saad uko poa?? Yani wewe kila siku unabadili jina khaaa!!
Umenifananisha mamii.Sema saad uko poa?? Yani wewe kila siku unabadili jina khaaa!!
Ni wewe 😂😂😂Umenifananisha mamii.
Vipi unafanya maombi au unalamba limao?
Wee omba sana siku moja Na wewe utaombwa ujueNi wewe 😂😂😂
Nasubiria mida nifanye maombi, si unajua wengine tunavyopenda maombi
Inakuwaje mwewe00:01
uhakika naon na wewe upo lindoInakuwaje mwewe
Ndio mkuu Wacha nikuulize hii #codeuhakika naon na wewe upo lindo
duuu hata sijuiNdio mkuu Wacha nikuulize hii #code
USIKU..!!