n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,541
- 7,262
02:55
Haiwagi hivowazee wa lindo mnalala kizembe⛈️
Haiwagi hivwazee wa lindo mnalala kizembe⛈️
Noma Sana mkuuBeki tatu kaja geto 23:07
Mnajadili nn humu?
Nifundishe kusaliMbona mnalala hamkeni msali.
Tunajadili jinsi ya kwenda sayari ya Mars mkuuMnajadili nn humu?
SafiTunajadili jinsi ya kwenda sayari ya Mars mkuu
Siunajua stimu zimelipiwaSafi
Mkuu Kuna majini muda huuNajaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi
😀😀😀😀Najaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi